Aliyekuwa kada wa CUF ajiunga ACT

Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa wa Chama cha CUF na Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Dundani Wilaya ya Mkuranga (2014-2019) Said Hamis Kindumbwe amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Chama Ado Shaibu.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *