
“Fountain Gate ni timu nzuri sana ambayo imejitengeneza vizuri kwenye ulinzi. Tumejiandaa vizuri lakini tunawachukulia kwa uzito mkubwa na tunawaheshimu kama timu nzuri na tumejiandaa kama siku zote kwa ajili ya kuchukua pointi tatu.
“Nafurahishwa na njia zetu za kutengeneza nafasi na kufungua wapinzani. Tunataka kuwa na aina ya uchezaji wa haraka. Nina uhakika Fountain Gate watakuja kucheza nyuma lakini sio kwa ilivyokuwa kama mechi iliyopita,â€

Kocha Simba SC – Fadlu Davids