Maadhimisho Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania

Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania yanayoendelea Shule ya Polisi Tanzania-Moshi ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dk. Samia Suluhu Hassan.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *