Saturday, March 14, 2026
spot_img
HomeMichezoStraika wa Simba Queens atema siri ya kinyang’anyiro kiatu cha dhahabu

Straika wa Simba Queens atema siri ya kinyang’anyiro kiatu cha dhahabu

Mshambuliaji wa Simba Queens, Jentrix Shikangwa, amesema malengo yake ni kuchukua kiatu cha dhahabu msimu huu kwa kufunga bao katika kila mchezo.

Ametoa kauli hiyo baada ya kufunga tena katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Bunda Queens.

Shikangwa amesema mechi ilikuwa ngumu kutokana na ubora wa wapinzani, na kueleza kuwa mara nyingi hawang’ari kipindi cha kwanza kutokana na presha ya wapinzani ambao huanza kwa nguvu kabla ya kuchoka kipindi cha pili.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments