HomeHabari‎Rais Samia ashiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Dodoma

‎Rais Samia ashiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Dodoma

Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 25, 2026, ameshiriki maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, mkoani Dodoma.‎‎

Katika maadhimisho hayo, Rais Samia aliweka Silaha za Jadi na shada la maua kwenye Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa kwa ajili ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania na kulinda taifa.‎‎

Shughuli hiyo pia ilihusisha gwaride maalumu la maombolezo lililoandaliwa kwa heshima ya mashujaa wa taifa.‎

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments