Ndege ya Iberia, shirika la ndege la Hispania, iliyowabeba mabingwa wa Kombe la Dunia 2026 ilitua katika Uwanja wa Ndege wa Adolfo Suárez Madrid-Barajas.
Baada ya kuwasili, timu ilipokelewa na Familia ya Kifalme ya Hispania, kabla ya kupanda basi la wazi na kufanya msafara katika mitaa ya Madrid, kisha kusherehekea ubingwa huo pamoja na maelfu ya mashabiki katika Uwanjwa wa Cibeles.







