Wednesday, December 10, 2025
spot_img
HomeHabariDk. Nchemba sifa zimembeba -Lukuvi

Dk. Nchemba sifa zimembeba -Lukuvi

Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, amesema Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba ni mchumi mbobevu aliyesimamia makusanyo ya kodi na kuisaidia Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutekeleza vyema miradi ya maendeleo.

Amesema kwa kazi nzuri iliyofanywa na utawala wa Rais Samia akisaidiwa na Dk. Nchemba, imewezesha pia wabunge wengi wa CCM kuaminiwa na kurejea tena bungeni.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments