HomeHabariUUNGWANA NI VITENDO; Mstaafu Majaliwa ampa Mkubwa Fella milioni 20 ya matibabu

UUNGWANA NI VITENDO; Mstaafu Majaliwa ampa Mkubwa Fella milioni 20 ya matibabu

Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amemtembelea na kumjulia hali Mdau wa mziki na mlezi wa vipaji, Mkubwa Fella, nyumbani kwake, ambapo alimkabidhi msaada wa shilingi milioni 20.

Majaliwa pia alifanya naye mazoezi mepesi ya viungo na kupata fursa ya kufanya mazungumzo marefu kuhusu mchango mkubwa wa Mkubwa Fella katika kukuza na kuendeleza muziki wa Tanzania pamoja na masuala mbalimbali yanayohusu tasnia ya sanaa.

Aidha, Majaliwa ameahidi kuendelea kumtembelea Mkubwa Fella mara kwa mara ili kufuatilia maendeleo ya afya yake na kumpa faraja.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments