Sunday, December 7, 2025
spot_img
HomeHabariKampeni za uchaguzi, Dk. Samia yupo Kinyerezi

Kampeni za uchaguzi, Dk. Samia yupo Kinyerezi

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan akifurahia mapokezi mazuri aliyopatiwa na umati wa wananchi wa Dar es salaam waliofurika katika Viwanja vya Kecha Kinyerezi wakati wa Kampeni za uchaguzi Mkuu leo Oktoba 22, 2025.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments