HomeHabariLissu ahukumiwa kifungo miaka minne jela

Lissu ahukumiwa kifungo miaka minne jela

Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka minne gerezani, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, kwa kosa la uchochezi.

Hukumu hiyo imetolewa leo, Ijumaa Novemba 6, 2026 na Jopo la majaji watatu wakiongozwa na Dustan Ndunguru.

Awali, kiongozi huyo wa upinzani alishitakiwa kwa kosa la uhaini na Mahakama imemkuta na kosa dogo la uchochezi na ndilo alilohukumiwa nalo.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments