Picha mbalimbali za wananchi wa Arusha waliojitokeza katika viwanja vya Abeid Aman Karume, jijini huko leo Oktoba 2 2025, wakimsubiri mgombea urais Samia Suluhu Hassan, kuzungumzia mambo mbalimbali yaliyofanyika katika kipindi cha miaka minne na ahadi zake endapo atapata ridhaa kwa mara nyingine kuongoza nchi mwa miaka mitano ijayo 2025-2030.











