Tuesday, March 3, 2026
spot_img
HomeMichezoTembo Warriors yaanza vibaya

Tembo Warriors yaanza vibaya

Timu ya Taifa ya Watu wenye Ulemavu (Tembo Warriors) ilianza vibaya CECAAF baada ya kupoteza 2-0 dhidi ya Kenya jijini Bujumbura.

Nahodha Bashra Alombile amesema hawakuridhishwa na matokeo hayo lakini wamejipanga kurekebisha makosa kuelekea mchezo wao wa leo dhidi ya Uganda.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments