Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipozungumza na Kuomba kura kwa Umati wa Wananchi wa Jimbo la Mchinga Mkoani Lindi wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Septemba 25, 2025.









