Thursday, December 11, 2025
spot_img
HomeHabariBanda la DAWASA lawavutia wengi Siku ya Wahandisi

Banda la DAWASA lawavutia wengi Siku ya Wahandisi

Wananchi mbalimbali wamejitokeza kwenye banda la maonyesho la Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika maadhimisho ya siku ya Wahandisi Kitaifa yanayoendelea ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Katika Banda la DAWASA wadau wanaojitokeza kupata fursa ya kupata elimu mbalimbali za Mamlaka ikiwemo elimu ya huduma za maji, matumizi ya mita za malipo ya kabla (pre-paid meters), uelewa wa ankara za maji pamoja na kusikiliza na kutatua changamoto za watumia huduma.

Mamlaka inawakaribisha wananchi wote kufika katika Banda la DAWASA na kupatiwa huduma kwa muda wa siku mbili kuanzia leo 25.9.2025 hadi 26.9.2025.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments