Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipozungumza na Umati wa Wananchi wa Moshi Mjini waliofurika kwenye Uwanja wa Mashujaa Mkoani Kilimanjaro wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo Oktoba 01, 2025.











