Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya Picha alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza leo Oktoba 27, 2025 tayari kwa Kuhitimisha Kampeni za uchaguzi Mkuu kesho.













