Saturday, November 8, 2025
spot_img
HomeHabariMatukio katika picha Dk. Samia akiomba kura Simiyu

Matukio katika picha Dk. Samia akiomba kura Simiyu

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha alipozungumza na kuomba kura kwa Umati wa Wananchi wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu waliojitokeza kumsikiliza wakati wa Kampeni Za uchaguzi Mkuu leo Oktoba 09, 2025.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments