Thursday, April 23, 2026
spot_img
HomeBiasharaMbunge Sanga: Customer Care ya TANESCO imeimarika sana

Mbunge Sanga: Customer Care ya TANESCO imeimarika sana

Mbunge wa Makete Festo Sanga amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kuendelea na mabadiliko katika vitengo vya Huduma kwa Wateja na cha dharura (emergency) wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati bungeni jijini Dodoma, Sanga.

Katika hatua nyingine ameipongeza Wizara ya Nishati kwa kutenga asilimia 97 ya bajeti ya mwaka 2026/27 kwenye maendeleo ambapo ameleeza dhamira ya Serikali kuendelea kuiimarisha Sekta ya Nishati nchini.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments