Monday, May 18, 2026
spot_img
HomeHabariMwanamke aliyechora Tattoo ya Rais Ruto afariki dunia baada ya kuchomwa moto

Mwanamke aliyechora Tattoo ya Rais Ruto afariki dunia baada ya kuchomwa moto

Mwanamke wa nchini Kenya aliyefahamika kwa jina la Rachel Wandeto, ambaye aliwahi kusambaa mitandaoni baada ya kuchora tattoo ya William Ruto kifuani mwake, ameripotiwa kufariki dunia akiwa anapatiwa matibabu kufuatia shambulio la kuchomwa moto kwa petroli.

Rachel Wandeto alidaiwa kushambuliwa na watu wasiojulikana katika eneo la Mwiki jijini Nairobi na kuachwa na majeraha makubwa ya moto kabla ya kulazwa hospitalini kwa matibabu.

Kifo chake kimeendelea kuzua mjadala mkubwa nchini Kenya huku uchunguzi wa tukio hilo ukiendelea kufanywa na mamlaka husika.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments