Saturday, November 8, 2025
spot_img
HomeMichezo🚨 Polisi Tanzania yazinduka kwa mabao 4-0

🚨 Polisi Tanzania yazinduka kwa mabao 4-0

Timu ya Polisi Tanzania imeanza msimu wa Ligi ya Championship kwa kishindo baada ya kuichapa B19 mabao 4-0 kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi.

Mabao yalifungwa na Tatizo Cosmas, Juhudi Balyanzi, Naku Kazimoto na Alfonce Amos.

Ushindi huo umeipa Polisi Tanzania mwanzo mzuri, ikifuatiwa na ushindi wa African Sports dhidi ya Hausung FC na TMA dhidi ya B19. Ligi itaendelea Ijumaa ijayo kwa michezo ya raundi ya pili.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments