PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipompokea Mgeni wake, Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili Viwanja vya Ikulu ya Dar es salaam kwa ziara ya siku Moja leo Februari 07, 2026.









