Shirika linaendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi nchini ikiwemo matumizi ya magari ya umeme kama suluhisho la kisasa la usafiri na lenye gharama nafuu.
Kwa Gari hili utatumia unit 78 za umeme kuchaji sawa na shilingi 27,768 na kukuwezesha kusafiri hadi km 605 .
Shirika linawahimiza wananchi kuhamia matumizi ya magari haya ili kuokoa gharama na rafiki kwa mazingira.




