Friday, April 24, 2026
spot_img
HomeBiasharaTANESCO: Magari ya umeme kuokoa gharama na kulinda mazingira

TANESCO: Magari ya umeme kuokoa gharama na kulinda mazingira

Shirika linaendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi nchini ikiwemo matumizi ya magari ya umeme kama suluhisho la kisasa la usafiri na lenye gharama nafuu.

Kwa Gari hili utatumia unit 78 za umeme kuchaji sawa na shilingi 27,768 na kukuwezesha kusafiri hadi km 605 .

Shirika linawahimiza wananchi kuhamia matumizi ya magari haya ili kuokoa gharama na rafiki kwa mazingira.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments