Sunday, December 7, 2025
spot_img
HomeHabariDk. Samia: CCM haitabadili itikadi yake

Dk. Samia: CCM haitabadili itikadi yake

“Ni furaha na fahari kubwa kushuhudia Chama Cha Mapinduzi kikiendelea kushamiri na kutoa uongozi thabiti kwa nchi yetu. Tangu kuasisiwa kwake chama cha mapinduzi kimeendelea kuwa chama cha kuunganisha watu na kuhubiri umoja kwani chimbuko lake ni umoja vile vile baada ya kuunganisha chama cha TANU na Chama Cha Afro Shirazi Party,”-Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk. Samia Suluhu Hassan.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments