Thursday, March 5, 2026
spot_img
HomeMichezoAzam yaichapa Mbeya City 2-0

Azam yaichapa Mbeya City 2-0

Kocha wa Mbeya City, Malale Hamsini, ameahidi kurekebisha makosa yaliyopelekea timu yake kufungwa mabao 2-0 na Azam FC katika mchezo wa kirafiki wa Mbeya City Day.

Malale aliwasifu wachezaji wake kwa kupambana na kuwataka mashabiki kuendelea kuijaza Sokoine.

Mbeya City, iliyorejea Ligi Kuu baada ya kushuka daraja msimu wa 2022/23, inaanza kampeni zake Septemba 18 dhidi ya Fountain Gate.

Magoli ya Azam yalifungwa na Landry Zouzou na mshambuliaji mpya, Tayeb Ben Zitoun.

Kocha Florent Ibenge alisema ushindi huo ni muhimu licha ya kukosa wachezaji waliopo majukumu ya timu za taifa.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments