Karibu katika mfululizo wa makala maalum ya “Ijue Wizara ya Nishati” tukufahamishe kuhusu kazi na mafanikio ya Wizara kupitia sekta inayoisimamia ya Nishati.
“Je, wajua Wizara ya Nishati ndio kichocheo na injini ya ukuaji wa uchumi wa Taifa letu?
Karibu tukujuze!!




