Tuesday, December 16, 2025
spot_img
HomeHabariTufanye toba ya kweli kupata amani - Dk. Biteko

Tufanye toba ya kweli kupata amani – Dk. Biteko

Baada ya Hekaheka za wiki nzima, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Mashaka Biteko amewasihi watanzania kufanya toba ya kweli kupata amani

Dk. Biteko ameyasema hayo wakati alipoungana na Wana Bukombe pamoja na wakazi wa maeneo jirani kumuabudu Mwenyezi Mungu kupitia Mkesha wa “Ibada Halisi” uliofanyika Septemba 20, 2025 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Igulwa, Bukombe.

“Uzima tulionao leo ni Wimbo mpya kinywani mwetu, Afya tulionayo ni Wimbo mpya kinywani mwetu, Hata Bukombe vile tulivyo ni wimbo mpya kinywani mwetu”.

Ibada hiyo imehudhuriwa na wasanii mbalimbali wa nyimbo za injili akiwemo Ambwene Mwasongwe na Rehema Simfukwe.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments