Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mpanda Mkoani Katavi tayari kwa kuzisaka kura Katika Kampeni Za uchaguzi Mkuu leo Oktoba 18, 2025.

















