HomeHabariAdo: Tanzania inaweza kufika 2029 bila Katiba Mpya

Ado: Tanzania inaweza kufika 2029 bila Katiba Mpya

Mbunge wa Tunduru kupitia ACT-Wazalendo, Ado Shaibu Ado, amesema Tanzania inaweza kufika mwaka 2029 bila kuwa na Katiba mpya iwapo wananchi na wadau wa mabadiliko hawatasimamia kwa nguvu mchakato wa kuipata.

Ado amedai kuwa dalili za kutokuwepo kwa dhamira ya dhati ya Serikali kuendeleza mchakato huo zinaonekana katika Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2026/27, akisema hakuna fedha zilizotengwa kwa ajili ya kugharamia mchakato wa Katiba mpya.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments