Klabu ya Simba imetangaza kumsajili kiungo Kelvin Nashon kwa mkataba wa miaka miwili.
Nashon anajiunga na Wekundu wa Msimbazi akitokea Pamba Jiji ya jijini Mwanza.

Klabu ya Simba imetangaza kumsajili kiungo Kelvin Nashon kwa mkataba wa miaka miwili.
Nashon anajiunga na Wekundu wa Msimbazi akitokea Pamba Jiji ya jijini Mwanza.

Maarifa Online Media ni chombo huru cha habari mtandaoni kinachotoa taarifa sahihi na za kuaminika kuhusu siasa, uchumi, jamii, michezo, elimu, afya na teknolojia. Tumejikita kwenye uwazi, weledi na uwajibikaji ili kuwafikishia wananchi habari bora na zenye mvuto kupitia tovuti na mitandao ya kijamii.
© 2025. Maarifa Online Media. All RIghts Reserved.