Friday, March 13, 2026
spot_img
HomeHabariPicha: Rais Samia ashiriki Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Picha: Rais Samia ashiriki Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, ameonekana katika matukio mbalimbali ya picha aliposhiriki Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu, lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA).

Kongamano hilo limefanyika leo, Agosti 24, 2025, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam, likilenga kuhamasisha mshikamano wa kitaifa na kudumisha amani kuelekea uchaguzi mkuu.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments