Zaidi ya Shilingi bilioni 5 ziko mezani kama jakpoti na zawadi za papo hapo. Kila tiketi unayonunua haikupi nafasi moja tu, inakupa na nafasi ya pili ya kushinda zawadi kemkem, na kadri unavyocheza zaidi ndivyo unavyoongeza nafasi yako ya kuibuka mshindi.
Cheza michezo mbalimbali kama LOTTO, TAMBA NA NAMBA, SPIN4CASH na TOBOA CHAP CHAP, na ufurahie ushindi wa papo hapo au jakpoti za kila siku.


Mbali na pesa taslimu, pia kuna zawadi kama simu janja, tablet, televisheni, mifumo ya burudani ya nyumbani, bodaboda na bajaji zote zikitolewa kila siku na kila wiki.
Nunua tiketi yako sasa kwa kupiga 14988#, tembelea www.nationallottery.co.tz au kupitia Mawakala waliokaribu nawe. #KuwaMchezoniUshinde #NationalLotteryOfTanzania
BahatiNasibuYaTaifa






