Saturday, December 20, 2025
spot_img
HomeHabariViongozi, wananchi wajitokeza katika ibada kumuombea Hayati Ndugai - Kongwa

Viongozi, wananchi wajitokeza katika ibada kumuombea Hayati Ndugai – Kongwa

Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi ya Wilaya ya Kongwa na wa nje ya Wilaya ya Kongwa wameshiriki ibada ya kuombea na kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Ndugai katika Kanisa la Anglikana- Mtakatifu Machael, Dinari ya Kongwa Wilayani Kongwa leo Agosti, 11, 2025.

Ibada hii inaongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dk. Maimbo Mndolwa.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments