Wednesday, March 4, 2026
spot_img
HomeMichezoYanga yamsajili Beki wa Ghana, yarejea Kigamboni

Yanga yamsajili Beki wa Ghana, yarejea Kigamboni

Yanga imemsajili beki wa kati, Frank Assinki raia wa Ghana, kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Singida Black Stars.

Assinki amejiunga na kambi ya Yanga na tayari ameanza mazoezi. Ofisa Habari, Ali Kamwe, amethibitisha kuwasili kwa mchezaji mpya lakini akasema jina litatajwa rasmi muda wowote.

Aidha, Kamwe ametangaza kuwa Yanga imerejea kambini Avic Town, Kigamboni baada ya ukarabati na kufichua kuwa Wiki ya Wananchi itafanyika Septemba 12, Uwanja wa Benjamin Mkapa sambamba na uzinduzi wa jezi mpya.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments