Saturday, May 2, 2026
spot_img
HomeBiasharaBenki ya NMB yapokea tuzo kufanikisha maadhimisho Mei Mosi Njombe‎

Benki ya NMB yapokea tuzo kufanikisha maadhimisho Mei Mosi Njombe‎

Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ni fursa ya kutambua mchango wa wafanyakazi katika maendeleo ya taifa.‎‎

Kama Mwajiri Kinara nchini, tumedhamini na kushiriki maadhimisho ya Mei Mosi yaliyofanyika kitaifa mkoani Njombe, yakihusisha wafanyakazi kutoka sekta za umma, binafsi, taasisi na mashirika mbalimbali nchini.‎‎

Katika maadhimisho hayo, tumepokea tuzo kama mdhamini wa kufanikisha maadhimisho haya, iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, na kupokelewa na Afisa Mkuu wetu wa Rasilimali Watu, Emmanuel Akonaay.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments