Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, 𝐋𝐚𝐳𝐚𝐫𝐨 𝐓𝐰𝐚𝐧𝐠𝐞, akiwasili ndani ya viwanja vya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma, ambapo bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2026/2027 inatarajiwa kuwasilishwa leo.






Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, 𝐋𝐚𝐳𝐚𝐫𝐨 𝐓𝐰𝐚𝐧𝐠𝐞, akiwa ndani ya ukumbi wa Bungeni jijini Dodoma, ambapo bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2026/2027 inatarajiwa kuwasilishwa leo.




