Thursday, March 12, 2026
spot_img
HomeBiasharaNdoto za Wanawake Tanzania zapata mabawa: NMB yazindua JASIRI

Ndoto za Wanawake Tanzania zapata mabawa: NMB yazindua JASIRI

Kuna ndoto nyingi za wanawake Tanzania, na sasa NMB JASIRI imezinduliwa rasmi kuzifungua.

Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, anawakaribisha kwenye Kochi la Jasiri, Kochi la Orange – nafasi ya kuzungumza, kushirikishana elimu ya fedha na kufungua fursa za kukuza biashara.

Karibu JASIRI. Karibu Tuyajenge.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments