Monday, March 16, 2026
spot_img
HomeHabariDk. Samia: Tutaweka nguvu watanzania wabobevu watuwakilishe kimataifa

Dk. Samia: Tutaweka nguvu watanzania wabobevu watuwakilishe kimataifa

“Ndugu zangu, kufuatia msiba huu tumepokea salamu za pole na faraja kutoka sehemu mbalimbali duniani. Viongozi wa Afrika na viongozi wa Kimataifa. Na ninawashukuru wote waliotuma salamu hizo kwa serikali yetu. Nawashukuru pia viongozi wa Kimataifa ambao wameweza kuja kushiriki nasi kumuaga ndugu yetu. Haswa viongozi wa WHO. Muheshimiwa Spika na waombolezaji wenzangu. Mambo mengi yamesemwa kumuhusu ndugu yetu Dkt. Faustine Ndugulile. Tumeyasikia mengi katika fani, katika uongozi. Mchango wake alioutoa kwa jamii na nchi yake kupitia utumishi wake, katika taaluma yake lakini pia katika siasa,”Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments