Saturday, March 28, 2026
spot_img
HomeHabari‎PICHA: Rais Samia katika matukio tofauti alipoongoza watanzania kuaga mwili wa Lukuvi

‎PICHA: Rais Samia katika matukio tofauti alipoongoza watanzania kuaga mwili wa Lukuvi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipoongoza Watanzania kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu Mhe. William Lukuvi katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2026.

‎Mhe. Lukuvi alifariki Dunia tarehe 25 Machi 2026 alipokuwa akipatiwa matibabu katika  Hospitali ya Bejamin Mkapa Mkoani Dodoma.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments