HomeHabariMarekani, Iran zakubaliana kutoingiliana mambo ya ndani

Marekani, Iran zakubaliana kutoingiliana mambo ya ndani

Serikali ya Marekani na Jamhuri ya Iran zimekubaliana kuheshimu mamlaka, mipaka ya kila mmoja na kutoingilia mambo ya ndani ya nchi husika, ikiwa ni sehemu ya makubaliano kadhaa yaliyofikiwa kufuatia mazungumzo ya kusitisha mapigano kati ya mataifa hayo mawili.

Ingawa makubaliano hayo yanaonekana kufungua ukurasa mpya katika uhusiano wa nchi hizo, bado kuna mashaka kwamba , pengine yasipokelewe vema na makundi yanayoipinga Serikali ya Iran.

Wakati wa maandamano ya raia wa Iran kuupinga utawala wa Taifa lao mapema mwaka huu, Marekani iliwaahidi msaada uko mbioni kuwafikia. Hata hivyo, hakuna msaada wowote ulioshuhudiwa baada ya ahadi hiyo.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments