HomeHabariRais Samia kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali

Rais Samia kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali

PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Arusha ambapo anatarajiwa kushiriki tukio la Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali utakaofanyika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) Leo Julai 13, 2026.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments