HomeHabari‎Dk. Nchimbi afukuzwa uanachama CCM

‎Dk. Nchimbi afukuzwa uanachama CCM

Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi, amefukuzwa uanachama wa chama hicho.

Uamuzi huo umetangazwa usiku wa leo, Agosti 26, 2026, na Katibu Mkuu wa CCM Dk. Asha – Rose Migiro alipokizungumza na waandishi wa habari katika ofisi ndogo za chama hicho jijini Dar es Salaam.

Dk. Asha – Rose Migiro, amesema uamuzi huo umetokana na Dk Nchimbi kutoa kauli na kufanya vitendo vinavyokwenda kinyume na maadili, kanuni na taratibu za CCM.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments