Chama cha Mapinduzi (CCM) kimependekeza Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania.
Jina hilo litawasilishwa Bungeni kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge, na endapo litapitishwa, ataapishwa kushika wadhifa huo rasmi.
Ndejembi kwa sasa ni Mbunge wa Chamwino na Waziri wa Nishati.




