Thursday, December 18, 2025
spot_img
HomeHabariSamia akutana na Askofu Rugambwa Ikulu ndogo Tabora

Samia akutana na Askofu Rugambwa Ikulu ndogo Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Kardinali Protase Rugambwa pamoja na Baba Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo hilo Mhashamu Baba Askofu Paul Ruzoka mara baada ya kuwasili Ikulu Ndogo ya Tabora tarehe 12 Septemba, 2025.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments