Thursday, February 12, 2026
spot_img
HomeHabariPolisi Dodoma inawashikilia watu watatu tuhuma mauaji mama na bintiye

Polisi Dodoma inawashikilia watu watatu tuhuma mauaji mama na bintiye

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limethibitisha kuwashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mama na bintiye wakazi wa mkoani humo

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Alchelaus Mutalemwa amewataja watu hao ambao ni Daudi Elias Nyakongo (45), Rajabu Rashidi (45) na Fikiri Steven (45) wote ni wakazi wa Kata ya Mkonze.

Kamanda Mutalemwa amesema kuwa watuhumiwa wanahojiwa na uchunguzi ukikamilika, watafikishwa mahakamani.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments