Tuesday, March 3, 2026
spot_img
HomeHabariDk. Biteko aapa rasmi kuwatumikiaBukombe

Dk. Biteko aapa rasmi kuwatumikiaBukombe

Mbunge wa Jimbo la Bukombe,Dk. Doto Mashaka Biteko leo Novemba 11, 2025 akila kiapo cha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments