Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipozungumza na kuomba kura kwa umati wa Wananchi wa Kata ya Kyaka Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera wakati wa Kampeni Za uchaguzi Mkuu leo Oktoba 15, 2025.








