Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma katika matukio tofauti yaliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam leo Machi 30, 2026.










