Sunday, April 5, 2026
spot_img
HomeHabariRais Samia akutana na wagombea urais 2025

Rais Samia akutana na wagombea urais 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na wagombea wa nafasi ya urais na wagombea wenza kutoka vyama vya siasa 16 vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwezi Oktoba, 2025.

Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Machi 31, 2026.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments