EWURA inashikiri katika maonesho ya Wiki ya Nishati yaliyoanza jana katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Pichani ni baadhi ya Wabunge na wageni mbalimbali waliotembelea banda la EWURA kupata elimu juu ya udhibiti wa huduma za nishati na maji, katika maonesho hayo.
Maonesho hayo yatafikia ukomo tarehe 23 Aprili 2026.









